ASKARI NA MAAFISA WA VYOMBO VYA ULINZI WAFANYA MAZOEZI

#Habari:Askari na maafisa wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma wamefanya zoezi la utayari huku ,viongozi wa vyombo hivyo vya ulinzi na usalama wakitoa onyo kwa yeyote atakayetaka kuharibu hali ya utulivu na amani iliyopo mkoani humo.

No comments