Disco marufuku Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku disko toto na ulipuaji wa baruti katika kipindi hiki cha Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya huku ikitoa onyo kwa watu ambao watakaidi agizo hilo.
Kamanda wa Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa ametoa onyo hilo katika mkutano wake na wandishi wa habari ambapo pia alielezea mikakati ya Jeshi hilo katika kulinda amani kwenye msimu huu wa sikukuu
Post a Comment