SIKU /TAREHE MUHIMU KWA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA NA JINSIA YA MTOTO

Na aloyce 0754501179

Leo napenda nizungumzie jambo moja, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.  

Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.  

Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).  

Swali: Je siku ya mimba ni ipi?  
Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baada  ya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cycle 
zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini: 

Jibu sahihi:   
1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili? 

2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu 
uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya  mimba kwa mwanamke yeyote!  

Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy!  

With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) 
are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days! 

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:  
1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 
chini: 

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 
20th, 21st, 22nd. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 
kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba 
kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day 
ndiyo siku anayoanza ku-bleed! 

2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 
chini:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 
kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba 
kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day 
ndiyo siku anayoanza ku-bleed! 

3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 
chini:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 
kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa 
mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo 
siku anayoanza ku-bleed! 

4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO 
WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:  

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama 
kawaida:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 
kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo 
siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke 
kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa 
kundi hili anaweza kupata mimba! 

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo 
ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii 
anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku 
ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili 
linakuwa tayari kurutubishwa! 

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa 
kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu 
kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa 
wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!  

Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili 
suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao 
husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana 
ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo 
mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona 
wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine 
hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao! 
Full maelezo ya kujitosheleza, ukikosa kudaka au kudakisha mimba basi kuna walakini...

52 comments:

  1. Hellow for my side iam date with my boyfriend but we are not do sex only we are brush me outside if vergine can i get a pregnant?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ENJOY THAT IS SO SWEET CAN MAKE YOU SQUIRT AND FEEL SO DAMN GUD,BUT NO PREGNANT

      Delete
  2. Ineed answer about this question

    ReplyDelete
  3. Jaman m naenda mzunguko wa sku 22 lkn cjajua jnci ya kuhesabu zpi hate kwangu na zpi salam

    ReplyDelete
    Replies
    1. Salama hesabu kuanzia22 na kurudi nyuma hesab had zifike namba 12 yan 22 iweke Kama moja

      Delete
  4. Mzunguko WA siku 28,siku ya Kwanza ya hedhi no 8/12 no siku ipi ya kushika mimba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tarehe 21 ambayo itakuwa siku yako ya 14 toka tareh 8 ambayo umeanza my bleed.

      Delete
  5. Mm sijui mzunguko wangu upoje ninachojua naingia period kwa tarehe 25 au 26 na pia sijui safe na hatari n zipi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Me mwenyw naomba msaada nachojua period naingia labda mwezi was kumi na Moja niliingia tar26,wa kumi n mbili nimeingia 25 kwaiyo cjajua mzunguko wangu ni mfupi au mrefu na siku za hatari na salama ni zipi??

      Delete
  6. I had sex with my boyfriend 11th day after menstruation can I get pregnancy my circle is 28 days

    ReplyDelete
  7. Jamana mm naingia terehe 10 au 11 nisiku IPI? yakupata mimba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jaman mmnaingia tarehe 13 je nisik ipi yakupata mimba

      Delete
    2. Nasema mm 28siku yamimba lpi hapa

      Delete
  8. Kundi la nne umesema mwanamke anapopata hedhi siku yakwanza ndio siku hiyohiyo yai lingine linapevuka, kwahio ndio siku yake yakupata ujauzito. swali je, hakuna madhara kwa mwanaume/mwanamke tukijamiina siku hiyo?au yai linaweza kusubiri bleed ikate ndio niweke vitu?

    ReplyDelete
  9. Niulize hv kama mimba imeharibika hlf ukasex siku ya 23 je unaweza kupata mimba kama mzunguko wako ni wa 30 hv 32

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama umeingia tarehe 24 siku Gani ya hatari

      Delete
  10. Mm Mar y mwsho kuingia ilikua 7/5 n nlisex tareh 2/6 nawez Pat mimb mzunguko wng unabadilik badilik mwez a nne ilikua 2/4

    ReplyDelete
  11. Ivi mwanamke akimaliza period kuna uwezekano wa kupata dalili za mimba baada ya kumaliza period

    ReplyDelete
  12. Kama mzinguko haueleweki wakati mwingine 26 au 28 au 30 inakuaje

    ReplyDelete
  13. sorry may ask a question I had a sex with my boyfriend 7 day after menstruation period and menstruation end in 5 day ,will I get pregnacy

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  15. I had a sex with my boyfriend 10th day, that is I start a menstruation period 28 July and end at 31 July and I had a sex on 6 August. Can I have a pregnancy?

    ReplyDelete
  16. Mzunguko wangu ni wa siku 24 siku ipe ni sasahihi kuhave sex

    ReplyDelete
    Replies
    1. 11 hadi 17 ni hatari kwako

      Delete
  17. Mzunguko wangu ni wa siku 24 siku ipe ni sasahihi kuhave sex na nika consive

    ReplyDelete
  18. Niliona hedh tar 5 had 7 mwez huu na Nilisex tare 15,16.baada ya kutoka na nahitaji mtoto naweza fanikisha mnisaidie

    ReplyDelete
  19. Hello....my MP is between 28 and 30 days,,,so when am sexually with someone (bae)in 17th day may I get a pregnancy.

    ReplyDelete
  20. Hello....my MP is between 28 and 30 days,,,and when sexually with someone (bae) in 17th day may I get a pregnancy?????🤔🤔🤔

    ReplyDelete
  21. Naomb kuuliza m nimeingia hedh tar 6 mwez 5 asa siku yang sahih ya kupata mimba ni lin na nina mzunguko mwez 28

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tarehe 19 mwezi wa 5 ndo siku yako ya kubeba mimba

      Delete
  22. Hiv kuna uwezekano wa kupata mimba sku ya 18 baada ya period?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio kama mzunguko wako ni mrf kuanzia 30-35

      Delete
  23. Sorry I had sex with my boyfriend 8th day of menstruation, my mestral cycle 30 can I get pregnant

    ReplyDelete
  24. Je mwanamke mwenye mzunguko wa siku 30 anaweza kupata mimba siku ya 18 kwa hesabu uoiyoitoa hapo?

    ReplyDelete
  25. Kama mwanamke ameanza bleed tarehe 14sptemb uwezekano wa kushika mimba ni ln?

    ReplyDelete
  26. Mim siku zangu za dam ni tareh13_16 je ni siku ipi ya mimba

    ReplyDelete
  27. jamani mm nimeingia tarehe 24 mwezi wa 9 siku yangu ya kubeba mimba lini?

    ReplyDelete
  28. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe cha kusimama peke yangu bila mwili wa kusimama na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na Dk DAWN, baada ya kumwambia. kuhusu hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kiukweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi huku akiniomba kuwa hatoniacha kamwe. tena. Miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    * upendo
    inaelezea * inaelezea kivutio
    * kama unataka ex wako nyuma
    *acha talaka
    * kuvunja obsessions
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa kinga
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    * bahati nasibu
    * uchawi wa bahati
    Wasiliana na Dk Ediomo kwenye barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp:+2349046229159

    ReplyDelete
  29. Hellow pole na ongera kwa elimu nzuri..naomba kuuliza nimepata hedhi ya pili baada ya wiki mbili I mean siku ya 15 je nawezaje kujua siku hatari

    ReplyDelete
  30. Hello,,,kuna mtu anata mtoto mwezi huu kaingia trh 7 kwa maelezo maana yak mwez ujao itakua trh 6 ,je ni lini akikutana na bae wake atapata mimba

    ReplyDelete
  31. KamaMwanamke ameanza bleed tarehe 01 April siku ya mimba lini

    ReplyDelete
  32. Hellow mzunguko wangu ni wa siku 28 na nilianza pereod tarehe 12 mpaka 15 je tarehe ya kushika mimba ni ipi kwan nimekuwa nikijaribu kwa mda mrefu sipati

    ReplyDelete
  33. Mm naaingia tr27 siku yangu ya kuxhika mimb ipi

    ReplyDelete