MAJIBU YA TAKUKURU KUHUSU KUMSHIKILIA MKUREGENZI WA NHC
Jana baada ya Msemaji wa TAKUKURUMusa Misalaba kutoa taarifa ya kutokuendelea na ushahidi walioutoa Mbunge Godbless Lema na Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki kwa madai ya kulihusisha jambo hilo na Siasa.
leo Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema ameita waandishi na kuzungumzia suala hilo. “Hii ni dhahiri sasa kwamba katika nchi hii kuna watu ambao wanaweza kushikiliwa na mkono wa sheria na kuna watu hawawezi kushikiliwa,” – Lema
Post a Comment