NDUGAI AHOJI WIZARA YA TAMISEMI KUPANGIA WATUMISHI VITUO VYA KAZI
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amepinga mpango wa serikali kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, amehoji ni kwanini serikali inapoka madaraka ya halmashauri ya kupanga watumishi, amehoji kuwa Tamisemi ni nani hata ijue idadi ya walimu shuleni maana wamekuwa wakijaza walimu sehemu ambazo hazina mahitaji hasa mijini.
Post a Comment