UDOM YAONGOZA KUTWAA VIKOMBE KATIKA MICHUANO YA VYUO VIKUU Tanzania universities Sport Association(TUSA)

Chuo kikuu cha Dodoma kimeongoza katika mashindano ya michezo ya vyuo vikuu Tanzania yaliyofanyika UDOM mashindano hayo yaliaoanza  tarehe 14/12/2017 yalifunguliwa na waziri wa habari utamaduni,  sanaa na michezo Mh. Dr. H mwakyembe na kufungwa tarehe 21/12/2017 na Naibu waziri wa habari , utamaduni Sana'a na michezo Mh Juliana Shonza, taarifa ya michezo iliyotolewa na waziri wa michezo(UDOSO-FEDERAL) kupitia katibu wa wizara ya  wa michezo na taaruma chuoni hapo ndugu MICHAEL YONGO imesema kuwa "UDOM wanetwaa jumla ya vikombe kumi na tatu(13) pamoja na medari zaidi ya 80 za GOLD, SILVER na BRONZE; pia Katika michuano hiyo timu zetu nyingi zimefika hatua ya finalist na  tatu bora kuliko vyuo vingine shiriki"
Aidha miongoni mwa Michezo ambayo UDOM walifanikisha kushinda in kama ifuatavyo
1.BASKETBALL(F)- 2nd WINNER 2.BASKETBALL(M)-2nd WINNER 3.VOLLEYBALL(F)- WINNER 4.VOLLEYBALL(M)-3rd WINNER 5.NETBALL(F)- 2nd WINNER 6.HANDBALL(M)-2nd WINNER
7.TENNIS SINGLE(M)-3rd WINNER
8.TENNIS SINGLE(F)-WINNER 9.TABLE TENNIS SINGLE(F)-WINNER 10.TABLE TENNIS SINGLE(M)-WINNER 11.TABLE TENNIS DOUBLE(M)-WINNER 12.POOLTABLE DOUBLE-WINNER 13.POOLTABLE SINGLE(M)-2nd WINNER 14.ATHLETE (F) 800m -2nd WINNER 15.ATHLETE (F) 1500m -3rd WINNER 16.SHOT PUT (F) - 3rd WINNER 18.KARATE(Kata) - WINNER 19.KARATE (Kata)-3rd WINNER 20.KARATE-WINNER 21.CHESS SINGLE (F)-2nd WINNER 22.CHESS DOUBLE - WINNER
23.CHESS SINGLE (M)-2nd WINNER  mbali na hapo UDOSO-FEDERAL kupitia wizara ya michezo na taaruma inapenda kutoa shukurani kwa uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma, wachezaji wote, wanafunzi wote wa udom, mashabiki wote waliotuunga mkono, waandaaji  na wazamini wote wa mashindano ya TUSA 2017 .


No comments