KESI YA KIKATIBA: Amri aliyopewa Mwanasheria Mkuu na Mahakama Kuu ya Tanzania
Leo March 9, 2018 stori ya kimahakama nayokusogezea ni kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo imemuamuru Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuwasilisha majibu yake kuhusu kesi za Kikatiba zilizofunguliwa na wananchi 28 ikiwemo kupinga Jeshi la Polisi kuzuia maandamano.
Akizungumza na waandishi wa habari, Wakili wa wananchi hao Jebrah Kambole amesema mashauri hayo ya Kikatiba ni namba 4 na 6 ya 2018 ambapo yamepangwa kusikilizwa April 5,2018.
Kambole amesema mahakama hiyo ilipanga kuanza kusikiliza mashauri hayo leo March 9, lakini imeshindikana kwa sababu baadhi ya majaji wamepangiwa kesi nyingine.
Kambole amesema kuwa mahakama imemuamuru AG kuwasilisha majibu yake kuhusu mashauri hayo March 21,2018.
“Mashauri haya ya yanapinga sheria mbalimbali ikiwemo kupinga sheria ya uchaguzi, pia Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamia wa Uchaguzi wakati inapaswa kuwepo tume huru ya Uchaguzi,”.
Wakili Kambole amesema kwenye shauri namba 4 wananchi hao 28 wanapinga sheria za Jeshi la Jeshi la Polisi na vyama vya siasa ambazo zinatoa muongozo wa kuzuia mikutano ya Kisiasa na kusababisha madhara mengi kwa wananchi.
“Hivyo kimsingi tunapinga sheria hizo ambazo ni kandamizi na zinakiuka misingi ya Katiba, ibara ya 18 Uhuru wa kujieleza kufanya mamuzi juu ya maisha ya Watanzania na nchi,”.
Pia sheria hizo zinakiuka haki ya kusikilizwa kwa watu wanaotoa taarifa kwa Jeshi la Polisi wakitaka kuandamana wanapata amri kabla ya kusikilizwa, hivyo kimsingi tunaangalia uhalali wa hizo sheria kwa Katiba yetu ya Tanzania.
“Kwa mujibu wa Ibara ya 16 inatoa majibu kwa mtu yoyote anayeona sheria imekiukwa ana wajibu wa kuleta shauri Mahakamani.
Mahakama imeyapanga mashauri
hayo kuyasikiliza April 5 2018
Sourse : Millard ayo
Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159. dawnacuna314@gmail.com