SIKU /TAREHE MUHIMU KWA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA NA JINSIA YA MTOTO
Na aloyce 0754501179
Leo napenda nizungumzie jambo moja, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.
Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.
Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).
Swali: Je siku ya mimba ni ipi?
Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baada ya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cycle
zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini:
Jibu sahihi:
1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili?
2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu
uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote!
Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy!
With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles)
are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days!
Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:
1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd.
Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba
kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day
ndiyo siku anayoanza ku-bleed!
2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba
kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day
ndiyo siku anayoanza ku-bleed!
3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa
mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo
siku anayoanza ku-bleed!
4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO
WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama
kawaida:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo
siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke
kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa
kundi hili anaweza kupata mimba!
Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo
ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii
anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku
ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili
linakuwa tayari kurutubishwa!
Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa
kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu
kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa
wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!
Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili
suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao
husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana
ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo
mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona
wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine
hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!
Full maelezo ya kujitosheleza, ukikosa kudaka au kudakisha mimba basi kuna walakini...
Fantastic education. Big up
ReplyDeleteHellow for my side iam date with my boyfriend but we are not do sex only we are brush me outside if vergine can i get a pregnant?
ReplyDeleteENJOY THAT IS SO SWEET CAN MAKE YOU SQUIRT AND FEEL SO DAMN GUD,BUT NO PREGNANT
DeleteIneed answer about this question
ReplyDeleteJaman m naenda mzunguko wa sku 22 lkn cjajua jnci ya kuhesabu zpi hate kwangu na zpi salam
ReplyDeleteSalama hesabu kuanzia22 na kurudi nyuma hesab had zifike namba 12 yan 22 iweke Kama moja
Deletecontact
ReplyDeleteMzunguko WA siku 28,siku ya Kwanza ya hedhi no 8/12 no siku ipi ya kushika mimba
ReplyDeleteTarehe 21 ambayo itakuwa siku yako ya 14 toka tareh 8 ambayo umeanza my bleed.
DeleteMm sijui mzunguko wangu upoje ninachojua naingia period kwa tarehe 25 au 26 na pia sijui safe na hatari n zipi
ReplyDeleteMe mwenyw naomba msaada nachojua period naingia labda mwezi was kumi na Moja niliingia tar26,wa kumi n mbili nimeingia 25 kwaiyo cjajua mzunguko wangu ni mfupi au mrefu na siku za hatari na salama ni zipi??
DeleteI had sex with my boyfriend 11th day after menstruation can I get pregnancy my circle is 28 days
ReplyDeleteIt can be possible
DeleteJamana mm naingia terehe 10 au 11 nisiku IPI? yakupata mimba
ReplyDeleteJaman mmnaingia tarehe 13 je nisik ipi yakupata mimba
DeleteNasema mm 28siku yamimba lpi hapa
DeleteKundi la nne umesema mwanamke anapopata hedhi siku yakwanza ndio siku hiyohiyo yai lingine linapevuka, kwahio ndio siku yake yakupata ujauzito. swali je, hakuna madhara kwa mwanaume/mwanamke tukijamiina siku hiyo?au yai linaweza kusubiri bleed ikate ndio niweke vitu?
ReplyDeleteNiulize hv kama mimba imeharibika hlf ukasex siku ya 23 je unaweza kupata mimba kama mzunguko wako ni wa 30 hv 32
ReplyDeleteKama umeingia tarehe 24 siku Gani ya hatari
DeleteMm Mar y mwsho kuingia ilikua 7/5 n nlisex tareh 2/6 nawez Pat mimb mzunguko wng unabadilik badilik mwez a nne ilikua 2/4
ReplyDeleteIvi mwanamke akimaliza period kuna uwezekano wa kupata dalili za mimba baada ya kumaliza period
ReplyDeleteKama mzinguko haueleweki wakati mwingine 26 au 28 au 30 inakuaje
ReplyDeleteUnknown
Deletesorry may ask a question I had a sex with my boyfriend 7 day after menstruation period and menstruation end in 5 day ,will I get pregnacy
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteI had a sex with my boyfriend 10th day, that is I start a menstruation period 28 July and end at 31 July and I had a sex on 6 August. Can I have a pregnancy?
ReplyDeleteMzunguko wangu ni wa siku 24 siku ipe ni sasahihi kuhave sex
ReplyDelete11 hadi 17 ni hatari kwako
DeleteMzunguko wangu ni wa siku 24 siku ipe ni sasahihi kuhave sex na nika consive
ReplyDeletebalaaa
ReplyDeleteNiliona hedh tar 5 had 7 mwez huu na Nilisex tare 15,16.baada ya kutoka na nahitaji mtoto naweza fanikisha mnisaidie
ReplyDeleteThanks
ReplyDeleteHello....my MP is between 28 and 30 days,,,so when am sexually with someone (bae)in 17th day may I get a pregnancy.
ReplyDeleteHello....my MP is between 28 and 30 days,,,and when sexually with someone (bae) in 17th day may I get a pregnancy?????🤔🤔🤔
ReplyDeleteyeaah
DeleteNaomb kuuliza m nimeingia hedh tar 6 mwez 5 asa siku yang sahih ya kupata mimba ni lin na nina mzunguko mwez 28
ReplyDeleteTarehe 19 mwezi wa 5 ndo siku yako ya kubeba mimba
DeleteHiv kuna uwezekano wa kupata mimba sku ya 18 baada ya period?
ReplyDeletendio kama mzunguko wako ni mrf kuanzia 30-35
DeleteSorry I had sex with my boyfriend 8th day of menstruation, my mestral cycle 30 can I get pregnant
ReplyDeleteno💪🏻
DeleteJe mwanamke mwenye mzunguko wa siku 30 anaweza kupata mimba siku ya 18 kwa hesabu uoiyoitoa hapo?
ReplyDeleteKama mwanamke ameanza bleed tarehe 14sptemb uwezekano wa kushika mimba ni ln?
ReplyDeleteMim siku zangu za dam ni tareh13_16 je ni siku ipi ya mimba
ReplyDeletejamani mm nimeingia tarehe 24 mwezi wa 9 siku yangu ya kubeba mimba lini?
ReplyDeleteSikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe cha kusimama peke yangu bila mwili wa kusimama na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na Dk DAWN, baada ya kumwambia. kuhusu hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kiukweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi huku akiniomba kuwa hatoniacha kamwe. tena. Miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
ReplyDelete* upendo
inaelezea * inaelezea kivutio
* kama unataka ex wako nyuma
*acha talaka
* kuvunja obsessions
* huponya viharusi na magonjwa yote
* uchawi wa kinga
*Ugumba na matatizo ya ujauzito
* bahati nasibu
* uchawi wa bahati
Wasiliana na Dk Ediomo kwenye barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
Whatsapp:+2349046229159
Hellow pole na ongera kwa elimu nzuri..naomba kuuliza nimepata hedhi ya pili baada ya wiki mbili I mean siku ya 15 je nawezaje kujua siku hatari
ReplyDeleteAa
ReplyDeleteHello,,,kuna mtu anata mtoto mwezi huu kaingia trh 7 kwa maelezo maana yak mwez ujao itakua trh 6 ,je ni lini akikutana na bae wake atapata mimba
ReplyDeleteKamaMwanamke ameanza bleed tarehe 01 April siku ya mimba lini
ReplyDeleteHellow mzunguko wangu ni wa siku 28 na nilianza pereod tarehe 12 mpaka 15 je tarehe ya kushika mimba ni ipi kwan nimekuwa nikijaribu kwa mda mrefu sipati
ReplyDeleteMm naaingia tr27 siku yangu ya kuxhika mimb ipi
ReplyDelete