MWANAFUNZI ASHAMBULIWA NA WALIMU, ALAZWA HOSPITALI:
Mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Kalangalala iliyopo Halmashauri ya mji Geita Jonathan Mkono anadaiwa kupigwa hadi kupoteza fahamu na mwalimu mkuu pamoja na mwalimu wake wa nidhamu.
Inadaiwa kwamba mwanafunzi huyo alishambuliwa na mwalimu wake wa nidhamu Rauson Lechapia, pamoja na mwalimu mkuu wa shule hiyo Deusdedit Omchamba baada ya kudaiwa kufanya kosa la kuingia bwenini wakati vipindi vya masomo vikiendelea.
Inadaiwa mwalimu wa nidhamu alimshambulia kwa ngumi sehemu mbalimbali za mwili na baada ya mwalimu mkuu kufikishiwa taarifa za mwanafunzi huyo , alianza kumshambulia kwa viboko hadi kuzirai.
Mwanafunzi huyo amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita.
Tukio hili limetokea siku nane tu baada ya mwanafunzi Sperius Eladius mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa akisoma shule ya msingi Kibeta iliyopo mkoani Kagera kudaiwa kupigwa hadi kufa na mwalimu wake Sperius
Sikuweza kushika mimba kwa miaka 10 kwenye ndoa yangu, nilikuwa kwenye ukingo wa kupoteza ndoa yangu kwa sababu mume wangu alihitaji mtoto wa kumzaa, mwenzangu wa kazi alinielekeza kwa Dr Dawn, Alikubali kunifanyia tambiko la ujauzito, nilifuata maagizo aliyonipa, na pia mshangao wangu, nilipata ujauzito ndani ya wiki 6, mimi na mume wangu tukafanya mtihani na matokeo yakaonyesha mapacha, Lakini sasa nina wavulana wangu 2 warembo, zote namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kumtumia Dk Dawn kusaidia ndoa yangu,
ReplyDeleteNinampendekeza Dr Dawn, kwa yeyote aliye na masuala ya uhusiano/ndoa au utasa, Dr Dawn hakika atakusaidia, wasiliana naye kwa Whatsapp: +2349046229159