ELIMU YA WA WATU WAZIMA KUPEWA KIPAUMBELE 2018/2019

Waziri wa elimu , sayansi, teknolojia na mafunzo ya ufundi Prof Joyce Ndalichako
Amesema serikali inapanga kutoa kipaumbele kwenye elimu ya watu wazima ili kuweza kutoa nafasi kwa watanzania ambao hawakupata elimu kuweza kujiunga na kupata elimu
Prof.ndalichako amesema japokuwa  utaratibu wa elimu kwa watu wazima ulikuwepo lakini wizara itatilia mkazo swala hili kwa mwaka ujao 2018/2019
"Tutatoa kipaumbele kwenye elimu ya watu wazima ili  kuwapatia watanzania walio ikosa elimu hii kwenye mfumo was kawaida was shuleni waipate"

Sourse daily news

No comments