WAHITIMU WA ELIMU YA JUU WALIOKUWA WAKINUFAIKA NA MKOPO WAOBWA KUANZA KULIPA MARA MOJA

Aloyce blog -10min ago

Waziri wa elimu, sanyansi, teknologia na mafunzo ya ufundi  prf. Joyce ndalichako amewasihi wahitimu wa elimu ya juu kulipa pesa wanazo daiwa na bodi ya mikopo,  waziri ndalichako kawataka wahitimu wa vyo kikuu waliokuwa wanufaika na mkopo kupitia bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (higher education student loan board.heslb) kulipa pesa walizo kopeshwa mala moja kulingana na sheria inavyo sema, amesema serikali haita sita  kuchukua hatua kwa mtu atakaeshindwa kulejesha mkopo aliokopeshwa,  prof ndalichako amesema kuwa "kila aliyekuwa mnufaika wa board ya mikopo anajukumu la kulipa pesa alizokopeshwa ili ziwasaidie wanafunzi wengine na wafurahie huduma kama wao walivyo furahia" 

Waziri ndalichako kwa nafasi yake kawasihi wanafunzi wote walioajiliwa na ambao wanafanya shughuli zao wawasiliane na bodi ya mikopo kwa ajili ya kupata ufafanuzi zaidi ,  "ninapenda kuwaomba wanufaika wote wa mkopo walipe pesa zao kabla sheria haijachukua mkondo"

Sourse daily news

No comments