Zarithebosslady amua kumuacha diamond platinumz
Aliyekuwa mke wa diamond platinum the bosslady zarri ..
Amefunguka kupitia ukurasa wake wa instagram kuachana na aliyekuwa mme,baba watoto wake ...DIAMOND PLATINUMZ. .sababu ni cheating anazo fanya mme wake huyo .aidha zarri kasema amekuwa kwenye industry ya mziki na intertainment kwa jumla kwa zaidi ya miaka 12.kasema kuachana na diamond haitenganishi uhusiano wa uzazi kati yao ila wanatengana kwa mahusiano ya kimapenzi pekee...aidha kasisitiza kuendelea kuwapa malezi mema wanae,na kuwa mfano kwenye jamii kwa kuendelea kuhamasisha wanawake na wasichana kupambana na maisha ......
Post a Comment