SIMBA OYEEEEEEE

Timu ya simba imefunga goli lake la kwanza ugenini  ikiwa ni dakika 53' ya mchezo huo goli  hilo limefungwa  na mshambuliaji emmanueli  okwi

Afisa habari wa timu hiyo amesema hayo kwa kutumia ukurasa wake wa instagram

No comments