KUTANA NA FUNDI WA KUTENGENEZA TOFALI IMARA YA PLASTIC

Tumaini P. Bagambilana ni mkazi wa kata ya  kalangalala mtaa  wa mbugani mkoa wa geita ambaye ameamua kutumia plastiki chakavu kutengeneza bidhaa mbali mbali  kama tofari ndogondogo zijuliikanazo kama (peviki block)

Atakuwa akionekana kila siku jumapili  kwenye youtube chanel  yetu ya MKEMIA MEDIA  ...

SUBSCRIBE  KWA HABARI MBALIMBALI

No comments